timu ya arsenali yatwaa ubingwa FA baada ya kumfunga chelsea bao mbili kwa moja
ushindi huo ni wapekee msimu huu.kwa arseanal ambayo imemaliza ligi ikiwa nafasi ya tano huku ikikosa kucheza UEFA
ubingwa huo ni kma kifuta machozi kwa arsenal na kwakocha maana washabiki wamekuwa wakimtaka kocha huyo aresene kuondoka klabuni hapo
baada ya miaka zaidi ya kumi arsenal inakuwa nje bila kushiliki UEFA kitu ambacho kimewaumiza saana mashabiki wa arsenal
Post a Comment
0Comments
3/related/default