mwanamke mmoja nchini uganda amevunja rekodi baada ya kuzaa watoto 38
mama.huyo kwa jina mariam nabatanzi miaka 37 amezaa watoto 38 kma uwaonavyo pichani na kuwa mwanamke wa kwanza kuzaa watoto wengi afrika
mama huyo kutoka wilaya ya mukono nje kidogo ya kampala anasema aliolewa mwaka 1993 na mume wake wa miaka 40 wakati yeye alikuwa na miaka 21 wakati huo
anasema akujua kma anaolewa walikuja tuu watu wakaongea na baba yake wakatoa posa na yeye kuchukuliwa
katika maisha yake amesha wai kujifungua watoto mapacha mara 6 na docta alimwacha azae kwakuwa alikuwa na mayai mengi
katika familia pia baba yake alizaa watoto 45 akiwemo na yeye mwenye watoto 38
mwanamke huyo ameingia katika rekodi kuwa mwanamke wa tisa duniani kuwa na watoto wengi huku akiwa wa kwanza kwa bala la afrika ambapo wa kwanza yupo marekani anaitwa nadya ambae amesha wai jifungua watoto nane kwa wakati mmoja
Post a Comment
0Comments
3/related/default