kufuatia kuendelea kwa mapigano makali nchini iraq kuukomboa mji wa mosul taarifa zinasema watoto wengi wauawa
kwa mujibu wa taarifa warenga shabaha wa islamic state wamekuwa wakiwalenga watoto kwa makusudi na kuwauwa wengi wao
mpaka sasa raia wengi wamekwama na wanamgambo wa IS wanawatumia raia kama ngao wakati wa mapambano
mpaka sasa asilimia kubwa ya mji wa mosul upo chini ya wanajeshi wa ilaq ambao bado wana pambana kuukamata mji mzima wa mosul kutoka kwa wanamgambo hao wa IS
wanamgambo wa IS walikamata sehemu kubwa ya iraq na kuifanya ngome yao huku wakiendesha mauaji ikiwemo mashambulizi katika maeneo tofauti
Post a Comment
0Comments
3/related/default