tatizo la ukame uhathiri viumbe vyote syo tuu binadamu ndyo maana mbuzi wanajikuta wanapanda mpaka juu tofauti na mbuzi wengine
mtu wa karibu wa maeneo hayo amesema mbuzi hao hupanda juu kilasiku wala hii syo mara ya kwanza hufanya hivyo kwaajili ya kufuata majani