watatu wafariki ajari ya mtumbwi rufiji

Admin
By -
0
mkuu wa polisi asibitisha kutokea vifo vya watu watatu wilayani rufiji baada ya mtumbwi kuzama

amewataja marehemu kuwa ni sijali abdala miaka 41,zuberi penya miaka 11 pamoja na salehe saidi miaka 31

pia katika ajari hiyo mtu mmoja amesalimika anaitwa musa mkamba ambae ndye alikuwa akiongoza mtumbwi huo

amesema chanzo cha ajari hiyo ni kwamba baada ya kutetembea umbali mchache ghafla mawimbi yakaongezeka na badae maji yakaingia ndani ya mtumbwi ndipo mtumbwi ukazama
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)