baada ya mlipuko mjini manchester polisi iliwachukua saa mbil tuu kumtambua muuaji
muuaji ni salman abeidi pichani ambae ana mafungamano na ugaidi aliuwa zaidi ya watu 22 katika ukumbi wa muziki mjini manchestee
inaaminika mda mchache kabla ya tukio salman alikwenda libya ambapo hakufahamika alikwenda kwa dhumuni gani
kufuatia tukio hilo polisi wame wakamata watu zaidi ya 14 ambao wana mahusiano na salman na huenda wana taarifa kuhusu tukio hilo
kijana salman alizaliwa na kukulia uingereza wakati wazazi wake ni waamiaji kutoka libya
Post a Comment
0Comments
3/related/default