serikali ya marekani yaipatia tanzania dola milion 552 kwaajiri ya kusaidia kupambana na ukimwi
hatua hiyo imekuja mda mchache baada ya kusitisha msaada kwa serikali ya kenya hivi majuzi
pesa hizo zta wasaidia wajane,wenye virusi na kusaidia mashilika yanayo pambana na maambukizi ya virusi vya ukimwi nchini tanzania
tanzania yapata tena msaada kutoka marekani
By -
May 18, 2017
0
Tags: