serikali yatoa ofa watanzania kuingia mbugani kutarii.bure

Admin
By -
0
kufuatia kusherekea siku ya mazingira duniani serikali imetoa offa ya watanzania kuingia mbugani bure

kauli hiyo imetolewa na waziri wa maliasili na utariu ikiwa ni kuazimisha siku ya mazingira na pia kuhamasisha utarii wa ndani kwa watanzania woote

hivyo basi tanzania nzima katika mbuga yoyote ukiitaji kuingia utaingia bila ya kuripia gharama zozote

utarii wa ndani umeshuka sana huku watarii wanao ingia katika maeneo tofauti nchini wakiwa ni wageni tuu hivyo serikali imetumia siku hii ya mazingira kuwaimiza pia watanzania kufanya utarii
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)