baada ya miaka mingi mjini paris kufanyika kwa tamasha la wanawake weusi meya wa paris anafikilia kulifuta tamasha hilo
tamasha hilo ambalo hufanyika kila mwaka mjini parisi huwa linakusanya wanawake weusi tuu huwa warangi zingine wakiwa hawaruhusiwi
meya alisema ni aina ya ubaguzi kuwatenga wanawake wengine ambao si weusi katika tamasha hilo.huku akiyashangaa.mashilika ya kutetea haki za binadam yakiwa yametekwa na kukaa kimya
waandaaji wa tamasha wamejitetea kwa kusema kuwa wanawake weusi huwa asilimia 80 huku asilimia inayo bakia huwa ya watu wa jamii zingine
pia kuna walio mjia juu meya na kumwambia kuwa hana mamlaka ya kusitisha tamasha hilo kwa mujibu wa sheria
Post a Comment
0Comments
3/related/default