polisi wadaiwa kumuua mwanafunzi kigamboni wakimtuhumu ni jambazi
chanzo kinasema ilikuwa majira ya saa 3:30 usiku marehem boniventure kimali ambae ni mwanafunzi wa chuo cha uvuvi mbegani alikuwa amekaa nje na mwenzake ghafla wakatokea polisi ambao bila maerezo waka mpiga risasi wakijua ndiye jambazi walio kuwa wakimtafuta
mashuhuda wanasema walishindwa kusogea kwakuwa walikuwa wanahofia uhai wao ila walimsikia mwanafunzi huyo akilia kwa uchungu huku akiomba asiuawe
baada ya muda mchache akaja polisi mwingine ambae alisikika akisema walio mpiga risasi si jambazi
ndipo polisi huyo akachukuwa simu na kupiga akitaka kuletewa gari ili wampeleke shospitali
baada ya muda gari likafika wakampakiza kijana huyo na kwenda nae hospitali
ambapo baada ya kumwacha polisi hao hawakuja tena kutoa wala kuchukuwa maerezo ikimaanisha ni kma wamejua wametenda kosa
kwa mijibu wa kaka wa kijana huyo amesema wanafuatilia kma wanaweza pata haki ya mdgo wake huku akionesha shaka
Post a Comment
0Comments
3/related/default