POLISI WAWILI WAUAWA NA WAUZA MIHADARADI PERU

Admin
By -
0
Jeshi la polisi nchini peru imesema polisi wake wawili waliuawa jana na wauza mihadarati

polisi hao walivamiwa wakati wakitoka doria katika mji mmoja kusini mwa nchi hiyo ambapo walivamiwa na kushambuliwa kwa risasi mpaka kufa

inaaminika shambulio hilo ni kulipa kisasi baada ya kuharibiwa kilo zaidi ya 700 zaadawa ya kulevya

katika nchi hiiyo kuna kikundi cha waasi kinaendesha biashara hiyo ya madawa ya kulevya kwa miongo kadhaa sasa huku wakifanya na mauaji kwa raia na polisi

Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)