Nacte imetangaza rasmi kuwa wanafunzi wa deproma na certificate wanatakiwa kutuma maombi yao vyuoni moja kwa moja
hatua hiyo imekuja kuwa ni mabadiriko ya shelia ya mwanzo ambayo inawataka wanafunzi wa deproma kupeleka maombi ya kujiunga kwa kupitia NACTE
hatua hii.pia imekuja baada ya TCU pia kuwataka wanafunzi wa degree kuomba kupitia vyuo moja kwa moja na siyo kuleta maombi kwao kma ilivyo kuwa siku za nyuma ambapo watainiwa walitakiwa kupitia TCU ili kujiunga na vyuo vikuu
NACTE YAJIVUA UDAHILI WANAFUNZI DIPROMA
By -
June 01, 2017
0
Tags: