Ikiwa ni siku chache toka aapishwe kuwa IGP kamanda Simoni sirro ametoa onyo kali.ka wanao jiusisha na uharifu kote nchini
akiongeq na wana habari siro amesema jeshi lake lipo imara limejipanga kupambana na mtu yoyote atakae taka kuvunja amani ya taifa
akiongea kuusu mauaji yanayo endelea nchini alisema swala hilo ni la muda na watalikomesha maana lipo ndani ya uwezo wao kama jeshi la polisi nchini
hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kutokea mauaji hasa maenei ya kibiti na mkulanga mkoani pwani ambapo watu kadhaa wameuawa huku chanzo kamili hakijajulikana
sirro amehaidi kulimaliza hilo ili raia waishi kwa amani huku akisema ni kazi yao kuwalinda raia pamoja na mari zao kwa ujumla
POLISI WATOA ONYO
By -
May 31, 2017
0
Tags: