baadhi ya picha sirro akiapishwa kuwa IGP

Admin
By -
0
aliye kuwa kamanda wa polisi kanda ya dar es salaam ameapishwa kuwa IGP leo
sirro ameapishwa leo ikulu na mh raisi na kuhudhuliwa na maafisa wajeshi tofauti pia na mh makamu wa raisi pamoja na waheshimiwa wengine
Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)