bekham na familia yake waja bongo kimyakimya

Admin
By -
0

mshambuliaji wa zamani wa manchester united na timu ya taifa ya uingereza david bekham aja na familia yake tanzania

bekham ambae amewasili jana akiwa na familia yake alikataa kuongea jambo lolote kuhusu safari yake hapa tanzania

baada ya kuwasili alipokelewa na mwenyeji wake na kuondoka mpaka sasa hajajulikana kafikia wap

bekham ambae amemalizia soka lake marekani ni miongoni mwa wachezaji ambao waliwai kujitengenezea jina kubwa katika mpira wa miguu hasa kwa uhodari wake wa kupiga mipila ya adhabu

pia bekham ni miongoni mwa wachezaji wanao heshimika saana na klubu ya manchester kutokana na mchango wake katika timu


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)