pichani ina sadikika kuwa ndye paka mrefu zaidi duniani kutokana na urefu wake alio nao
paka huyu anaurefu zaidi ya futi 3 ambae mda mchache ulio uliopita urefu wake ulikuwa wakawaida kma paka wengine
watu wa jarida linaro husika na uvunjaji rekodi wanatarajia kumpima ili nae aingie kwenye rekodi ya dunia.ya kuwa paka mrefu zaidi
paka mrefu zaidi duniani
By -
May 17, 2017
0
Tags: