BREAKING NEWS:msanii dogo mfaume afariki dunia

Admin
By -
0

msanii alaiye tamba na nyimbo ya kazi ya dukani dogo mfaume afariki dunia reo hii

dogo mfaume ambae alikuwa anapata matibabu baada ya kuathirika na madawa ya kulevya amefariki

chanzo cha kifo bado hakija bainishwa taarifa zaidi zita kuja


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)