mauaji yaenderea afrika ya kati

Admin
By -
0

kufuatia zozo unao chochewa na udini mauaji yazidi kufanyika mpka sasa ni zaidi ya watu 320 wameuawa


kwa mujibu wa shilika la msaraba mwekundu udini kati ya waislam na wa kristu ndy chanzo kikubwa huku uhai wa mamia ukipotea kila sku


raia wamerazimika kuyahama makazi yao kutokana na vita vinavyo enderea huku huduma za kijamii kma shule zikiwa zime simama kutokana na mapigano hayo


Tags:

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)