mchezaji wa timu ya taifa ufaransa na manchester united paul pogba aenda kuhiji mecca
pogba alipiga picha akiwa na mahujaji wengine mjini mecca hivi majuzi mara baada ya kuchukuwa ubingwa wa EUROPA
pogba mwenye umri wa miaka 24 amekuwachezaji ghali duniani mara baada ya kusajiriwa na manchester united akitokea juventus ya nchini italia
pia wiki kazaa nyuma pogba alimpoteza baba yake mzazi ambae alikuwa akiugua kwa kipindi kirefu baada ya kupiga picha hiyo pogba aliandika reo ni siku njema katika maisha yangu kuwa hapa
Post a Comment
0Comments
3/related/default