mwenyekiti wa tanzania mzalendo foundation mh khamis mgeja amwonya polepole
akiongea na waandishi wa habari mjini morogoro amesema kuwa polepole amekuwa akitumia matukio ya kibiti kisiasa kujinufaisha
mgeja amesema polepole amekuwa akitumia matukio hayo kufanya kma chama chao kunaandamwa ili kuwatia huruma wananchi
pia amesema anatumia luhga yakuchonganisha vyama vya siasa vionekane kma vina fanya matukio hayo ambayo kila mtanzania haya mpendezi
amesema kila mtanzania anaumia kuusu kibiti sasa yeye asifanye au asiongee kujinufaisha kisiasa kwakuwa matukio hayana mahusiano na siasa
Post a Comment
0Comments
3/related/default