baada ya serikali nchini china kupiga marufuku ulaji mmbwa marufuku hiyo imewakasirisha watu wengi nchini humo hivi majuzi
nchini china mmbwa hutumika kwa kitoweo kma wanyama wengine na nyama yake uhuzwa buchani na inawateja wengi ambao hupenda nyama hiyo
atua hiyo imekuja.baada ya malalamiko kutoka kwa wanaharakati watetezi wa haki za wanyama ambao walisimama kidete kuakikisha ukatili dhidi ya wanyama una komeshwa mchini humo
china mmbwa hufugwa kma kitoweo na syo kwaajili ya ulinzi na urembo.kma ambavyo ipo nchi zingine
marufuku uraji mbwa yawa gumzo china
By -
May 19, 20170 minute read
0
Tags: