mgunduzi na mmiliki wa facebook ahitimu chuo harvad marekani
awali aliacha chuo baada ya kugundua mtandao wa facebook ambao aliugundua wakati akiwa shule
mtandao huo umeweza kumfanya kuwa miongoni mwa matajiri kumi wa mwanzo duniani huku akiwa tajili wa kwanza kijana kwa sasa
wakati wa kuhitimu aliwatia moyo wenzake huku akiwataka kuwa na malengo wanapo amua kufanya jambo
mtandao wa facebook umekuwa maarufu ulimwenguni kote una watu zaidi ya bilion moja kote duniani
Post a Comment
0Comments
3/related/default