nchi ya korea kaskazini imeendelea kukiuka makubaliano ya kimataifa kuhusu makombora ya nyuklia
mapema leo korea kaskani imelusha kombora umbali wa km zaid ya 450 mpaka katika bahari ya japani
waziri wa japana ameonesha kusikitishwa kwake na jaribio hilo ambalo linaaminika ni lakikorofi ambalo hufanya mara kwa mara na korea kaskazini
si mara ya kwanza korea kaskazini kuvunja makubariano kuhusu majaribio ya makombora ambayo umoja wa mataifa walikiana makubariano
Post a Comment
0Comments
3/related/default