menaja wa man city pep guardiola yupo njiani kumsajili mlinda mlango wa benifica ya ureno
mlinda mlango huyo edsoni maraes.yupo tayali kujiunga na city kwa dau la paund milion 33 akitokea kwa mabingwa hao wa ligi kuu ureno
pia katika kujiimalisha city inaitaji kumsajiri beki wa kati benjamini mendy ambae anaichezea timu ya taifa ya ufaransa
pia apo ijumaa man city ilimsajili mchezaji mwingine bernado silva kwa kiasi cha paund million 43
kocha huyo wa man city amesema amezamilia kuchuukuwa ubingwa msimu ujao baada ya kuukosa mwaka huu
Post a Comment
0Comments
3/related/default