![]() |
| Gennaro Gattuso, Kocha wa AC Milan |
Mabingwa hao wa Ulaya mara saba wamemfuta kazi Montella baada ya kutoka sare ya bila kufungana na Torino hapo jana, matokeo ambayo yaliiacha katika nafasi ya saba kwenye ligi kuu ya kandanda Italia – Serie A.
Gattuso mwenye umri wa miaka 39, aliichezea AC Milan mechi 450 kati ya 1999 na 2012, na akanyanyua Kombe la Dunia na Italia mwaka wa 2006.
Tangu alipostaafu kucheza, amekuwa akifanya kazi na mfumo wa AC Milan kama kocha wa timu ya vijan
Tags
Michezo
