WANAJESHI WAWILI WA JWTZ WAUAWA CONGO 18 WAMEJERUHIWA

Wanajeshi wawili wa JWTZ  wameuawa nchini congo huku wengine 18 wakiwa wamejeruhiwa nchini congo DRC

wanajeshi hao walikuwa wakifanya kazi chini ya mwamvuli wa umoja wa mataifa nchini congo

tukio hilo limetokea majira ya saa 10 alfajiri ambapo  waasi walivamia kambi yao ambayo ipo maeneo ya goma nchini congo

majeruhi wamekimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi wakati operation maalum ya kuwasaka waasi hao imesha kwisha anza

umoja wa mataifa umetoa salamu za pole kwa walinda amani kutoka Tanzania  na wamelaani kitendo hicho kisicho cha uungwana

Post a Comment

Previous Post Next Post