RAILA ODINGA AJITOA UCHAGUZI MKUU NCHINI KENYA

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya laila odinga atangaza kujitoa katika kinyang'anyilo cha uchaguzi wa maruduo

Odinga amesema ameamua kujitoa kufuatia baadhi ya mambo  kuto kuwa sawa ikiwemo kuto tolewa kwa wafanyakazi wa tume ya uchaguzi walio boronga mala ya kwanza

uchaguzi wa marudio ulitalajiwa mwezi huu 26 lakini ndiyo hivyo Odinga katangaza kuto husika

Post a Comment

Previous Post Next Post