TAARIFA KUTOKA MAHAKAMANI KESI YA MANJI

mahakama mjini dar es salaam ime mwachia huru mfanya biashara Yusuphu manji

manji alikuwa na kesi ya kutumia madawa ya kulevya ambapo mahakama imesema upande wa mashitaka umeshindwa kutoa ushahidi wa kutosha dhidi ya kesi iliyokuwa iki mkabili Yusuph manji

Post a Comment

Previous Post Next Post