MAJAMBAZI WATANO WAUAWA DAR

Watu watano wanao sadikika kuwa ni majambazi wame uawa mjini dar es salaam baada ya kujibizana na polisi kwa risasi

tukio hilo limetokea maeneo ya Toangoma mjini dar es salaam usiku wa kuamkia leo ijumaa

jeshi la polisi limesema walipata taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu kuwepo kwa mpango wa uharifu maeneo hayo

baada ya kupata taarifa wali weka ulinzi na ilipo fika majira ya usiku watu hao wakiwa wengi walifika eneo hilo kwaajili ya kufanya tukio lao

majibizano yalikuwa makubwa kwakuwa watuhumiwa walikuwa na siraha nzito lakini jeshi la polisi kwakuwa lipo vizuri likafanikiwa kuwaua watano huku wengine wakifanikiwa kukimbia

Post a Comment

Previous Post Next Post