APANDISHWA KIZIMBANI BAADA YA KUTABIRI KIFO CHA RAISI

Patric mugadza ambae ni mchungaji nchini zimbabwe apandishwa kizimbani baada ya kumtabilia kifo raisi Robert mugabe

mchungaji huyo alikamatwa baada ya kusema kuwa ametabili kuwa raisi mugabe atafariki mwezi huu

mchungaji patric alisema ameoteshea kuwa mugabe ata fariki oktoba 17 yaani mwezi huu

baada ya kutamka hayo alipandishwa kizimbani na kufunguliwa makosa mawili ya kukashifu dini na kuvunja mira na desturi

wakili wa mchungaji huyo alitaka kesi ifutwe kwakuwa kufunguliwa kwake kulikuwa na dosari nyingi lakini mahakama haikulidhia kufuta shitaka hilo

Post a Comment

Previous Post Next Post