RAY C AMKATAA NANDY ASIIMBE NYIMBO ZAKE KWENYE SHOW

Msanii wa bongo fleva wa muda mrefu Ray C kupitia ukurasa wake wa instagram ampiga marufuku msanii Nandy kuimba nyimbo zake

Nandy kwenye show zake amekuwa akiimba baadhi ya nyimbo za ray c kitu ambacho ray c haja kifuraia

Ray C amesema kuwa " yeye bado mzima hajafa wala hana tatizo na anaweza kuimba kama mnapenda nyimbo zake kwanini msimwite mumlipe na yeye? kibaya ni mara ya tatu anaimba nyimbo zake bila ruhusa na ata mtaani wakimwona wana mkaushia kama hawa mjui hapendi"

Post a Comment

Previous Post Next Post