Ofisi ya ccm yachomwa moto mafia na watu wasio fahamika na kutokomea kusiko julikana
ofisi hiyo iliyopo mafia mkoani pwani imechomwa moto na kila kitu kimeungua kilicho kuwepo ndani ya ofisi hiyo
ccm imesibitisha kuchomwa kwa ofisi yao na kusema aliye choma hajulikani mpaka sasa
pia amesema mtindo wa uchomaji uliofanyika umetumika mtindo wa kuwasha moto na hatimae kurushia katika paa la ofisi hiyo
moto huo umeunguza kila kitu hakuna kilicho okolewa na hawajui kwanini watu au mtu huyo kachukuwa uamuzi wa kuchoma offisi hiyo
polisi ipo kwenye uchunguzi kuwabaini waliofanya tukio hilo
Tags
Kitaifa