TRAFIKI AFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA GARI MKOANI TABORA



Trafiki afariki baada ya kugongwa na gari akiwa kazini mkoani tabora

Trafiki huyo E.51 Koplo Asimile Ambwenea afariki baada ya kugongwa na gari akiwa kazini katika barabara ya sikonge

trafiki huyo aligongwa na gari lenye namba T564 ALG aina ya Isuzu iliyokuwa ikiendeshwa na Hasani kiula miaka 36 ambae alikuwa akitokea mpanda kwenda kahama

chanzo cha ajari ni kwamba trafiki alimsimamisha dereva Hamisi lakini akakataa na baadae akawasha gari kitendo kilicho pelekea kumgonga askari huyo na kupoteza maisha

mpaka sasa dereva anatafutwa na mwili wa marehemu umehifadhiwa hospitali ya jeshi milambo


Post a Comment

Previous Post Next Post