Muda huu raisi wa jamhuri mh John pombe magufuri afanya mabadiriko baraza la mawaziri huku baadhi ya mawazili wakiachwa taarifa zaifi inafuata
raisi amemchagua Geogre mkuchika kuwa waziri ofisi ya raisi na utawala bola pia amevunja wizara ya uvuvi kilimo na ufugaji na kuwa ndani ya wizara ya kilimo pekee

Tags
Siasa