BEKI WA CHELSEA AHUKUMIWA JELA MIEZI SITA

Beki kisiki wa zamani wa Chelsea Ricardo calvalho ahukumiwa kwenda jela miezi sita

mchezaji huyo ame hukumiwa nchini Hispania baada ya kukutikana na kosa la kukwepa kodi

amehukumiwa miezi sita jela ila.yupo mbioni kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ya jela miezi sita

Post a Comment

Previous Post Next Post