Aliye kuwa mgombea wa uraisi kupitia katiba ya wananchi UKAWA Edward lowassa awa karibisha ukawa wana ccm wanao katwa huko ccm
lowassa amesema katika vikao vyao jina lake linaendelea kutajwa inaonesha jinsi gan yupo akilini mwao kila muda
amesema kuna watu huko wana gombea lakini wana katwa sasa hao wana karibishwa upinzani maana huku kuna raha na amani na demokrasia pia
lowasa amesema mfumo wa vyama vingi nyerere ali uleta ili ulete changamoto na siyo uadui na siyo zambi kuwa mpinzani
amewataka watakao hamia upinzani wapokelewe kwa mikono miwili kwakuwa wote tuna malengo ya kuijenga Tanzania mpya ya bila umaskini
katika vikao vya ccm kuna baadhi ya wagombea wamekatwa na wana lalamika huku wale wenye hisia na lowasa kuwekwa pembeni kabisa katika mchakato huo

Tags
Siasa