WAZIRI WA AFYA ATOA MAELEZO KUHUSU TUNDU LISSU

Waziri wa afya ummy mwalimu atoa ufafanuzi kuhusu kutibiwa kwa tundu lissu

kupitia ukurasa wake wa twitter waziri ummy mwalimu alisema mgonjwa ni mbunge sawa lakini amesha tolewa kwenye utaratibu wa bunge sasa ni lazma ipatikane ruksa ya familia

alisems kila mbunge hutibiwa na serikali lakini kwakuwa utaratibu ulio tumika ni mwingine inabidi ruhusa itoke kwa familia

pia bunge lilisema kuwa wametuma pesa za matibabu kwenye akaunti ya benki ya hospital anayo tibiwa tundu lissu hatua iliyozusha maneno mengi na maswali kwanini itumwe hospitali na siyo kwa ndugu wa mgonjwa?

hivyo basi waziri wa afya alisema kuwa walikuwa wakingojea taarifa kutoka kwa familia ya mgonjwa wao wangetoa tu ila walisita kwakuwa mgonjwa alikuwa nje ya utaratibu

Post a Comment

Previous Post Next Post