mwili wa priveti mussa jumanne muhrey aliye fariki akiwa analinda amani nchini drc utaagwa september 25 katika hospitali ya jeshi ya lugaro saa 2:00 hasubui
na shuguli ya kuuaga mwili wa marehemu utaongozwa na katibu wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa JKT florense turuka
mungu ailaze mahala salama roho ya marehemu
imetolewa na mkurugenzi wa habari mahusiano 22 septemba 2017
Tags
Kitaifa