Mahakama kuu mjini dar es salaam imewahukumu kwenda jela miaka 22 watu wawili baada yavlukutwa na madawa ya kulevya
Abass kondo mkazi wa mtaa wa lindi mjini dar es salaam alikamatwa mei 14.2017 kwenye uwanja wa ndege dar es salaam akitokea sao paulo brazili akiwa na kete 77 za cocain
pia mtuhumiwa mwingine ni raia wa Guinea bisau alikamatwa na.gram 1277 za heroin akitaka kusafiri kuelekea nchini mali
wote wawili wamehukumiwa kwenda jela miaka 22 ikiwemo kulipa faini ya 230.7 milioni
Tags
Kitaifa