Baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu hatimae mke wa tundulissu na dereva wake wafunguka kwa mara ya kwanza
Alicia Magabe ambae ni mke wa tundu lisuu na ni mwanasheria pia alifunguka leo akiongea na wana habar
alisema tukio la kushambuliwa kwa tundu lissu linatokana na kazi yake ya utetezi zidi ya wanyinge ambayo lissu amekuwa akiifanya kwa kipindi kirefu
pia akizungumzia afya ya mume wake kuwa inaendelea vizuri na inazidi kutengamaa tofauti na ilivyo mwanzo kipindi wanakuja
pia dereva wake alihojiwa na kusema kuwa
amesikia polisi wana mwitaji ili akatoe maelezo akirudi tanzania atafika kutoa maelezo kwakuwa sasa hayupo vizuri na anatibiwa kuweka sawa saikolojia yake hatua iliyonpelekea kuto kumbuka kutu chochote lakini akirejea atakwenda polisi