MBUNGE WA CHADEMA MSIGWA AKAMATWA NA POLISI IRINGA

Kupitia ukurasa wa twitter wa mbunge wa Arusha mjini atoa taarifa ya kukamatwa kwa mbunge wa iringa mjini mh PETER MSIGWA na polisi akiwa kwenye mkutano wa hadhara mkoani iringa

pia mkuu wa polisi mkoa wa iringa amesibitisha kukamatwa kwa mbunge huyo na kushushwa jukwaani baada ya kutoa lugha za uchochezi na wana mfanyia mahojiano

Post a Comment

Previous Post Next Post