Katika hali isiyo ya kawaida wananchi wa jamii ya wawindaji wa HADZABE inayo patikana mkoani arusha kwenye wilaya ya karatu waiomba serikali msaada wa bangi
jamii ya wahadzabe wanaishi polini na hutegemea uwindaji kama shughuli yao kuu kila siku
wananchi hao ambai ni kivutuo kikubwa cha watarii ni jamii masikini inayo tegemea kuwinda tuu
wakiongea na viongozi wa serikali wanakijiji hao wamesema wanaomba serikali iwasaidie msaada wa angarau bangi tani mbili
wamesema wamekuwa wakitegemea kuwinda lakini kwa sasa wanyama hakuna hivyo wanatakiwa kwenda mbali zaidi ili wakawinde hivyo huitaji bangi ili wavute wafanye kazi hiyo
mwenyekiti wao amesema wanaitaji bangi angarau tani mbili ili waitumie kwa miezi sita maana ni lazima wavute bangi ili wafanye kazi
amesema wao wakivuta bangi huwa hawana matatizo yoyote huitumia tuu kwenye kufanya kazi
uongozi wa serikali umesema hawata weza fanya hivyo kwakuwa bangi ina madhara na watafute njia nyingine lakini sio kwa kuvuta bangi