Askari polisi iliye fahamika kwa jina la Stephen mungai wa nakuru nchini kenya amuua mke wake kisha na yeye kujipiga risasi mbele ya mtoto wao
askari huyo wa kituo cha Molo mjini nakuru alimpiga mke wake risasi na bunduki aina ya AK47 mbele ya mtoto wao
kwa mujibu wa majirani walisema kuwa walisikia watu wakisemezana kwa muda na baadae kusikia milio ya risasi lakini baada ya muda kukawa kimya
baada ya muda wakaenda eneo la tukio wakamkuta mtoto huku baba na mama yake wakiwa wamefariki hapo hapo na bunduki aina ya AK47 ikiwa pembeni
mpaka sasa chanzo cha ugomvi hakija fahamika na uchunguzi zaidi unaendelea kubaini chanzo cha mauaji hayo
Tags
Kimataifa