Wiki hii haikuwa nzuri nchini uganda baada ya wabubge kupigana na kupelekea kuwepo kwa uharibifu
nchini uganda wabunge walipigana katika kikao cha kujadiri uwezekano wa kubadiri katiba mpya
serikali imekuja na hoja ya kutoq ukomo wa raisi kugombea ambapo katiba inasema umri wa kugombea ni mwisho miaka 75
upande wa serikali umekuja na mswada wa kutaka kutoa ukomo wa mri hatua ambayo wapinzani hawajakubali
wapinzani wamesema katiba ikibadirishwa inamaana rais Yoweli mseven atagombea tena uchaguzi ujao
ugomvi ulizuka mara baada ya spika kuwatoa nje wabunge 25 wa upinzani kitu ambacho hakikiwafuraisha wenzao
ilizuka vuta ni kuvute hatua iliyo pelekea kurushiana viti ikiwemo kuvunja vipaza sauti vya ndani ya bunge
pia baada ya tukio hilo serikali imevitaka vyombo vya habari kutoonyesha vurugu zinazo tokea bungeni vinginevyo wata vifutia reseni