MWANAMKE AJIOA BAADA YA KUKOSA MUME

Mwanamke mmoja nchini Italia amefanya jambo la kushangaza baada ya kutangaza kujioa

mwanamke huyo wa miaka.40.alialika wageni 70 na kuandaa sherehe kubwa iliyo gharimu kiasi kikubwa cha pesa

mwanamke huyo alisema amekosa mume kwa miaka 12 sasa ameamua kujioa mwenyewe

"nimetafuta sana mtu sahihi lakini sijampata wa kuweza kuishi nae na nimeona jambo zuri ni kujipenda ndiyo maana nimeamua kujioa"

baada ya picha zake kuenea kwenye mitandao ya kijami mwanamke huyo alipata maneno mengi ya kashfa lakini yeye hata akujari na amesema amechukulia kawaida sana ameamua hivyo

mwanamke huo amekuwa mwanamke wa kwanza nchini Italia kutangaza kujioa mwenyewe baada ya kukosa mume sahihi.

Post a Comment

Previous Post Next Post