baada ya msanii duamondi kuachia wimbo wake mpya tuhuma nyingi zimeanza kujitokeza
wimbo huo ambao amemshilikisha msaani kutoka nchini jamaika Morgan heritage umevunja rekodi baada ya kupata watazamaji "viewer"ilioni moja ndani ya masaa 15 na kuipiku rekodi ya alikiba iliyokuwa ndani ya masaa 38
uwingi wa watazamaji hao umewafanya baadhi ya watu kuanza kupata masgaka kutokana na idadi yake kuwa kubwa mno kuwai kutokea
baadhi ya watu wamesema ana nunua views ndiyo maana watazamaji wamekuwa wengi mno huku wakimtuhumu kufanya hivyo ndiyo maana ajajiunga vevo kama wasanii wengine

mashabiki wanasema.diamond haja jiunga vevo kwakuwa ni vigumu kuiba au kufanya ujanja ukiwa chini ya vevo tifauti na youtube ambako watu wengi hufanya ujeuli
Tags
burudani