T.I.D ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE 2020

Msanii wa muziki wa bongo fleva maarufu kama TID asema anatarajia kugombea ubunge mwaka 2020

TID amesema anatarajia kugombea ubunge jimbo la kinondoni baada ya mbunge wa jimbo hilo kushindwa kufanya kazi yake

alisema maneno hayo wakati alihojiwa na EAST AFRICA RADIO na akasema amejipanga kumng'oa mbunge wa sasa kwakuwa amefeli majukumu yake

alisema akipata nafasi ata maliza kero zote zinazo likumba jimbo hilo ikiwemo tatizo la biashara na matumizi ya madawa ya kulevya

Post a Comment

Previous Post Next Post