alshabaab washambulia kambi ya jeshi somaria

mapema alfajiri ya leo wanamgambo wa itikadi kari wa Alshabab wameshambulia kambi ya jeshi magharibi mwa mogadishu

raia wa mji huo wanasema waliamshwa na sauti za milipuko mikubwa miwili alfajili ya leo

wanamgambo wa alshabab wamekili kufanya shambulio hilo na wamesema wame waua wanajeshi kadhaa wa jeshi la serikali

taarifa ya jeshi imepinga kuuawa kwa kwa wanajeshi ila imekili kushambuliwa kwa kambi yao

kambi iliyo shambuliwa ni miongoni mwa kambi zenye vifaa vya kisasa vya kijeshi nchini humo ambayo inategemewa

siku za kalibuni wanamgambo hawa wamebadili mfumo wa kufanya mashambulizi ambapo sasa wanashambulia kambi za jeshi la serikali

Post a Comment

Previous Post Next Post