mbunge wa chadema akamatwa na polisi

mbunge wa jimbo la kilombero Peter lijualikali amekamatwa na polisi kwenye jimbo la malinyi

mbunge huyo alikamatwa jana jioni majira ya saa 12:40 katika maeneo ya malinyi na amekamatwa na viongozi wenzake watatu

mbunge huyo alikuwa kwenye kikao cha ndani kwenye mji wa malinyi lakini wakati anajiandaa kuondoka polisi wakamkamata na kwenda nae polisi

kipindi wanakamatwa walijaribu kujieleza kwa kutoa maelezo lakini polisi hawa kusikiliza ambapo mbunge huyo alisema alikuwa kwenye kikao cha ndani

jeshi la polisi lilisema limepokea amri ya kumkamata kutoka kwa mkuu wa wilaya ana tuhumiwa kufanya mkusanyiko usio sahihi

alipo ulizwa mkuu wa wilaya alikili kuwatuma polisi na alisema wamemkamata kwakuwa amefanya siasa eneo ambalo sio.lake kwakuwa yeye ni.mbunge kilombelo na sio malinyi

alisema pia mbunge huyo wanae na wanaendelea kumfanyia mahojiano yeye na viongozi wenzake

Post a Comment

Previous Post Next Post