Baada ya kutokea kwa tukio la kupigwa risasi kwa mbunge wa singida mashariki Tundu lissu chadema wadai uchunguzi kutoka nje
baada ya kudai hivyo msemaji mkuu wa serikali dr.Hassam abbas aonesha kuwashangaa chadema kwa hitaji lao hilo
Dr hassan alisema watu wangapi waliuawa kibiti lakini hawakuitaji uchunguzi kutoka nje? na leo lissu kashambuliwa wanaitaji wazungu? wakati wazungu nao wana zidiwa na kesi za namna kama hii
Dr abbas ameshauli kuviacha vyombo vya uchunguzi kufanya kazi yake na siyo kuvibeza na kupoteza imani navyo haipendezi kabisa